Mambo Muhimu Yakuzingatia Kwa Mama Anayenyonyesha -
Titi kuwa jekundu, gumu, na lenye maumivu makali (linaweza kuwa ni maambukizi ya Mastitis ). Homa kali na baridi. Chuchu kutoa usaha au damu. Mtoto kugoma kunyonya kabisa au kutoongezeka uzito.
Mtoto anapaswa kukamata sehemu kubwa ya eneo la duara jeusi la titi (areola), si chuchu pekee. Ukisikia maumivu makali, jua mtoto hajashika vizuri. MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA
Msongo wa mawazo unaweza kuzuia maziwa yasitoke vizuri (let-down reflex). Tafuta msaada wa kazi za nyumbani kutoka kwa mume, ndugu, au rafiki. Titi kuwa jekundu, gumu, na lenye maumivu makali
Maziwa ya mama yana asilimia kubwa ya maji. Hakikisha unakunywa angalau glasi 8-12 za maji kwa siku. Kunywa glasi moja ya maji kila unapoanza au unapomaliza kunyonyesha. Titi kuwa jekundu

